Verse 1:
Hakuna linalomshinda, Yesu mkombozi wangu
Soma Bibilia utaona, Yote Bwana Yesu anaweza
Hakuna lililo ngumu kwake anaweza
Chorus:
Hakuna, hakuna, hakuna linalomshinda
Yote bwana yesu anaweza aliwatoa jaso makuhani
Na wazee hekaluni
Verse 2:
Magonjwa yakulemea, Yesu aliponya hata ukoma
Vipofu viwete na viziwi Bwana yesu aliponya
Isitoshe alifufua lazaro anaweza
(Chorus)
Verse 3:
Ulevi umekulemea, aligeuza macho kuwa divai
wapoteza macho kwa kumikumi, waelekea poteza maisha
Ukimwamini hautaona kiu ya pombe
(Chorus)
Verse 4:
Hakuna linalomshinda, Njaa kwa yesu sio tisho
Aliwapasha elfu tano kwa mikate miwili
Kabaki kuokota elfu saba
(Chorus)
Verse 5:
Hakuna linalomshinda, baada ya kutufia msalabani
Aliingia kuzimu yesu, kanyang’anya shetani funguo
Kampa ibilisi tetemeko kubwa sana
No comments:
Post a Comment