Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima

Mateso yako ni ya muda tu, Mungu akuandalia ushuhuda
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Daudi Alikuwa mchunga kondoo, Mungu akamwinua kuwa mfalme
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Leo unaitwa ombaomba, kesho utaitwa mbarikiwa
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Licha unatembea kwa miguu, kesho utaendesha gari
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Nasema watakusalimia, kwa heshima
Watakusalimia, kwa heshima
Wakati wako wako wa kuinuliwa, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Wakati wako wa kubarikiwa, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Wakati wako wa kukumbukwa, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Wanaosema hautaolewa, watashuhudia ndoa yako
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Pale utakapovalishwa pete, watashikwa na kigugumizi
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Wanaosema wewe ni tasa, watakuona ukinyonyesha
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Na Mungu alimkumbuka Sara, hata wewe utakumbukwa
Nasema watakusalimia, kwa heshima
Watakusalimia, kwa heshima
Wakati wako wako wa kuinuliwa, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Wakati wako wa kubarikiwa, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Wakati wako wa kukumbukwa, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Wakuu wa Mungu wetu ni Ebeneza, hata sasa yupo
Msaada wetu wa karibu, mwite ataitika
Jifunze kuwa na subira, utafanikiwa
Sana siku sio gani mama, atakuinua
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Ona leo wanakuita kikaragosi, kesho watakuita bosi
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Aliyekunyima kadi za harusi, kesho wataomba shela yako
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Ona leo wanakupiga kibuti, kesho watakupigia saluti
Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima
Watakusalimia, kwa heshima
Watakusalimia, kwa heshima
Watakupigia magoti, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Walikuona ukilala jalani, ukifika
Kesho watakupata ofisini, kwa heshima
Watakusalimia, ukifika
Watakusalimia, kwa heshima
Watakupigia saluti, watakusalimia kwa heshima.
No comments:
Post a Comment